
Kundi la
wanamgambo wa Somalia Al-Shabab limesema limeuwa watu watatu ambao
linawashutumu kwa kufanya upelelezi katika mashirika ya kijasusi ya
Marekani au Somalia. Kundi hilo lenye uhusiano na al- Qaida lilitangaza
mauaji hayo Jumanne katika ukurasa wake wa Facebook.
0 comments:
Post a Comment